Nikicheka Anacheka 1b | Story Books

 Nikicheka Anacheka 1b Available

Nikicheka Anacheka 1b

Availability: In Stock
Ksh.0.00 Ksh.226.00
+
Buy Now
Sold By     GoBooks Delivery
Successful Sales: 1,000 items
Delivery: 1-3 Days Pay on delivery
Category:
Education Level: Lower Primary
Age Group: Grade 1
Requisition: Required
Author: Pamela Ngugi
Publisher: Oxford

Quick Overview

Nikicheka anacheka 1 b ni kitabu kinachonuiwa kuimarisha msingi wa kusoma na kukuza uwezo Wa kusoma wanafunzi wa Darasa katiko shule za msingi, Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: Masimulizi rahisi ya hadithi. Kuondosha hali ya uchofu wa kusoma na kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia nyimbo, vitendawili, picha za rangi za kupendeza na sentensi fupifupi. kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira tofauti tofauti. Mradi wa Kusoma ni mfututizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu. ISBN: 9780195730531