Stadi za Kiswahili Gredi 1 TG | Text Books

 Stadi za Kiswahili Gredi 1 TG Available

Stadi za Kiswahili Gredi 1 TG

Availability: yes
Ksh.0.00 Ksh.418.00
+
Buy Now
Sold By     GoBooks Delivery
Successful Sales: 1,000 items
Delivery: 1-3 Days Pay on delivery
Category: Kiswahili
Education Level: Lower Primary
Age Group: Teachers Guide
Requisition: Recommended
Author: Moran
Publisher: Moran Publishers

Quick Overview

Stadi za Kiswahili, Kitabu cha Mwalimu, Gredi ya 1 ni mwongozo unaomwelekeza mwalimu kuendesha vipindi vya Kiswahili darasani. Kwa mintarafu ya mtaala mpya uegemedo umilisi uliozinduliwa na Taasisi ya Ukuzaji Mitaala ya Kenya (KICD) mnamo Septemba 2017 na uliotumiwa kukiandaa kitabu hiki, mwalimu ni mwezeshaji wa mchakato wa ufundishaji na ujifunzaji. Mwongozo huu umetayarishwa kwa kutilia maanani ukweli huu. ISBN: 9789966630537