Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha Grade 3 | Text Books

 Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha Grade 3 Available

Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha Grade 3

Availability: yes
Ksh.0.00 Ksh.452.00
+
Buy Now
Sold By     GoBooks Delivery
Successful Sales: 1,000 items
Delivery: 1-3 Days Pay on delivery
Category:
Education Level:
Age Group: Grade 3
Requisition: Recommended
Author: OUP
Publisher: Oxford

Quick Overview

Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika mtaala mpya wa umilisi. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka.