Msako Wa Mwizi | Story Books

 Msako Wa Mwizi Available

Msako Wa Mwizi

Availability: In Stock
Ksh.0.00 Ksh.294.00
+
Buy Now
Sold By     GoBooks Delivery
Successful Sales: 1,000 items
Delivery: 1-3 Days Pay on delivery
Category:
Education Level:
Age Group: Grade 5
Requisition: Recommended
Author: Mehta Abeid
Publisher: East African Educational Publishers

Quick Overview

Vitabu vya sayari vimenuiwa kuwaongezea wanafunzi maarifa ya kuisoma na kuielewa lugha ya Kiswahili, huku vikiwafanya wajimudu katika kuizungumza lugha hii. Vimekusudiwa kusomwa na wanafunzi wa darasa la Sita, Saba na la Nane, katika shule za msingi za Afrika Mashariki. Kwa kuwa hawa ni wanafunzi waliokomaa, lugha katika mfululizo wa vitabu hivi imepevushwa ili kuwatayarisha katika mitihani. Katika Msako wa Mwizi, kuna jambo limefanyika. Mahindi yamepandwa na sasa yako tayari. Lakini mbona yanaibwa? Na ikiwa yanaibwa, ni nani anayehusika na kuna mlinzi kila mara? Jigundulie mambo haya katika hadithi hii ya kuburudisha. ISBN: 9789966468673