Ngamia Mpole | Story Books

 Ngamia Mpole GoBooks Delivery

Ngamia Mpole

Availability: In Stock
Ksh.0.00 Ksh.180.00
+
Buy Now
Sold By     GoBooks Delivery
Successful Sales: 1,000 items
Delivery: 1-3 Days Pay on delivery
Category:
Education Level:
Age Group: Grade 1
Requisition: General
Author: Rebecca Nandwa
Publisher:

Quick Overview

Je, umewahi kubebwa na ngamia? Nani alikulipia pesa kwa mwenye ngamia ili akuruhusu ubebwe na ngamia wake? Je, ngamia huyo alikuchokoza? Ngamia ni mnyama mkubwa sana lakini mpole. Yeye hachokozi watu. Hadithi, ‘Ngamia Mpole’ inawahusu watoto wawili: Bonga na dada yake, Sakina, ambao walibebwa na ngamia wakafurahi sana. Hata hivyo, waliweza kuzungumza na ngamia huyo.