Kuku aliyegeuka kuwa Kanga | Story Books

 Kuku aliyegeuka kuwa Kanga GoBooks Delivery

Kuku aliyegeuka kuwa Kanga

Availability: In Stock
Ksh.0.00 Ksh.200.00
+
Buy Now
Sold By     GoBooks Delivery
Successful Sales: 1,000 items
Delivery: 1-3 Days Pay on delivery
Category:
Education Level:
Age Group: Grade 1
Requisition: General
Author: Fotunatus Kawegere
Publisher:

Quick Overview

Dunia haiishi mambo. Je, umewahi kujiuliza kanga ana uhusiano upi na kuku? Vilevile, umewahi kufungua kizimba cha kuku halafu jogoo akapaa dirishani na kuwika? Visa hivi vyote, kulingana na Fortunatus Kawegere, vina uhusiano: eti kuku na kanga huwa wanatafutana. Soma mwenyewe upate ukweli wake na ufaidi kwa maadili. Fortunatus Kawegere ni mwandishi mwenye kipawa cha usimulizi. Anatazama mambo kwa jicho pevu na kuyadhihirisha kisanaa. Mbali na hadithi Kuku aliyegeuka kuwa Kanga, ameandika Uongo Uliozaa Jitu. Vyote hivi vimechapishwa na Phoenix Publishers Ltd.