Mfuko Wangu U Wapi?
Availability:
In Stock
Ksh.0.00
Ksh.180.00
Sold By
GoBooks Delivery
Successful Sales:
1,000 items
Delivery: 1-3 Days Pay on delivery
Education Level:
Age Group: Grade 1
Requisition: General
Author: Akberali Manji
Publisher:
Quick Overview
Juma anataka kufanya kazi aliyopewa na mwalimu. Lakini mfuko uliokuwa na vitabu haupatikani. Anatafuta kila pembe haupati. Umepotelea wapi? Akberali Manji ni mkazi wa Dar-es-Salaam, Tanzania, na mwandishi mashuhuri wa vitabu vya watoto. Vichapo vyake vingine ni pamoja na Bustani yenye Hazina, Mtoto Aliyetoweka, Bonde la Wafu na ‘Kaponea Chupuchupu, ambavyo vilevile vimechapishwa na Phoenix Publishers Ltd.