Chura Mcheza Ngoma | Story Books

 Chura Mcheza Ngoma GoBooks Delivery

Chura Mcheza Ngoma

Availability: In Stock
Ksh.0.00 Ksh.128.00
+
Buy Now
Sold By     GoBooks Delivery
Successful Sales: 1,000 items
Delivery: 1-3 Days Pay on delivery
Category:
Education Level:
Age Group: Grade 1
Requisition: General
Author: Rebecca Nandwa
Publisher:

Quick Overview

Chura na Sungura ni marafiki. Lakini baada ya muda Chura anaanza kuona wivu. Anawatesa watoto wa Sungura. Sungura anakasirika na kumfukuza chura nyumbani mwake. Chura anafanya njama ya kuwaharibu mifugo wa Sungura. Anakuja mchana na kuwaongoza katika ngoma zinazowaacha wamechoka kupindukia. Sungura anafanya uchunguzi na kumpata mkorofi Chura katika mojawapo ya ngoma hizi. Chura anatoroka na kujitumbukiza kwenye maji, ambako anajificha mpaka wa leo. Rebecca Nandwa ni mwandishi anayeziandika hadithi zake kwa njia ya kipekee ya kusisimua. Hivi sasa anafanya kazi na gazeti moja kubwa nchini Kenya. Kitabu chake kingine ni Mfalme Chui Mkatili ambacho vilevile kimechapishwa na Phoenix.