Nimeshindwa Tena
Availability:
In Stock
Ksh.0.00
Ksh.180.00
Sold By
GoBooks Delivery
Successful Sales:
1,000 items
Delivery: 1-3 Days Pay on delivery
Education Level:
Age Group: Grade 5
Requisition: General
Author: Ken Walibora
Publisher:
Quick Overview
Kila mtu hutaka kuwa mshindi katika jambo alitendalo. Inapotokea kuwa ni mshinde husononeka si haba. Lakini swali ni kuwa tunafaa kushinda katika kila jambo au kukubali tunaposhindwa katika mambo mengine? Hadithi hii inahusu mhusika, Mshindi Mmoja, anayetarajiwa kushinda katika kila jambo. Je, katika safari yake ya kushinda atashinda nini? Soma ufaidi uzuri wa ushindi.