Adhabu ya Mvua | Story Books

 Adhabu ya Mvua GoBooks Delivery

Adhabu ya Mvua

Availability: In Stock
Ksh.0.00 Ksh.200.00
+
Buy Now
Sold By     GoBooks Delivery
Successful Sales: 1,000 items
Delivery: 1-3 Days Pay on delivery
Category:
Education Level:
Age Group: Grade 5
Requisition: General
Author: Amos Kundu Nandasaba
Publisher:

Quick Overview

Ni vyema kupima neno kabla halijatoka kinywani. Ushauri wa Mama Nafula kuhusu chanzo cha baba yake Nafula kupigwa na radi unamkanganya. Ushauri huo unamwandama sana Nafula kiasi cha kutoroka shuleni mvua inaponyesha. Swali ni kuwa ni nini chanzo cha mtu kupigwa na radi? Je, mtoto anaweza kuchukua hatua ambayo Nafula alichukua ili kuyaokoa malazi yake? Soma upate uhondo wa usimulizi huu.