KLB Skillgrow Mazoezi ya Lugha Hatua ya 1 | Text Books

 KLB Skillgrow Mazoezi ya Lugha Hatua ya 1 Available

KLB Skillgrow Mazoezi ya Lugha Hatua ya 1

Availability: yes
Ksh.0.00 Ksh.278.00
+
Buy Now
Sold By     GoBooks Delivery
Successful Sales: 1,000 items
Delivery: 1-3 Days Pay on delivery
Category: Kiswahili
Education Level: Preschool
Age Group: PP1
Requisition: Recommended
Author: KLB
Publisher: Kenya Literature Bureau

Quick Overview

KLB Skillgrow Mazoezi ya Lugha Hatua ya 1 by Sheila Wandera, Susan Mukundi, Phillip Lumwamu, Mutahi Miricho, Diana Madara 1 review KLB Skillgrow Mazoezi ya Lugha Hatua ya Kwanza (Kaaba cha Mwanafunz0 ni kitabu mojawapo kati ya vitabu vinavyochapishwa na Kenya Literature Bureau vya msururu wa Skillgrow. Msururu huu wa vitabu umezingatia Mtalaa wa kiumilisi wa mwaka wa 2017 wa masomo ya shule za Nasari. Kitabu hiki kimekusudiwa kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wa kutumia stadi zote nne za lugha ya Kiswahili; Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na kujiandaa Kuandika. Kupitia stadi hizi, mwanafunzi anakuza uwezo wake wa lugha. Toleo hili limejumuisha mambo muhimu ambayo yanachangia ujifunzaji wa sasa ambayo ni masuala mtambuko, maswali dadisi, masuala ya jinsia, picha murua za kuchangamsha na kuibua hamu ya kudadisi kwa mwanafunzi na mbinu tofauti za kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wake wa kujifunza. Mazingira halisi ya mwanafunzi yamezingatiwa katika kukuza kazi hii. Hili linamwezesha mwanafunzi kujifunza katika hali halisi. Lugha sahili imetumika ili kurahisisha kuelewa kwa mada zote katika kitabu hiki. ISBN: 9789966651884