Stadi Za Kiswahili Gredi 4 | Text Books

 Stadi Za Kiswahili Gredi 4 Available

Stadi Za Kiswahili Gredi 4

Availability: yes
Ksh.0.00 Ksh.626.00
+
Buy Now
Sold By     GoBooks Delivery
Successful Sales: 1,000 items
Delivery: 1-3 Days Pay on delivery
Category: Kiswahili
Education Level: Lower Primary
Age Group: Grade 4
Requisition: Recommended
Author: Alfred Kibandi
Publisher: Moran Publishers

Quick Overview

Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Umilisi. Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo: Kimeandikwa kwa kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya 4. Maswali dadisi yametumiwa kutanguliza dhana zilizomo. Kimejumuisha shughuli za mwanafunzi binafsi,shughuli za wanafunzi wawilliwawili na za makundi ya wanafunzi. Kimeshughulikia masuala makuu yote kwa mujibu wa ruwaza ya Kiswahili cha Gredi ya 4. Kimejumuisha mada kuu na mada ndogo zote. Yaliyomo yamepangwa kulingana na ruwaza ya Kiswahili cha Gredi ya 4. Kimejumuisha Umilisi wa kimsingi kwa mujibu wa Mtaala wa Umilisi. Kimeshughulikia masuala mtambuko yote. Yaliyomo yanakuza maadili yanayopendekezwa katika Mtaala wa Umilisi. Shughuli za ujifunzaji zinakuza stadi za Kusikiliza na Kuzungumza,Kusoma na Kuandika Michoro na picha za rangi zinachangia yaliyomo kueleweka kwa urahisi. Maandishi makubwa na ya rangi mbalimbali yanasomeka kwa urahisi. Haya na mengine mengi yanadhamiriwa kumwezesha mwanafunzi wa Gredi ya 4 kuwasiliana kwa Kiswahili sanifu katika mazingira mbalimbali. ISBN : 978 9966 63 320 0