KLB Visionary Kiswahili - Mwalimu Gredi 6 | Text Books

 KLB Visionary Kiswahili - Mwalimu Gredi 6 Available

KLB Visionary Kiswahili - Mwalimu Gredi 6

Availability: yes
Ksh.0.00 Ksh.464.00
+
Buy Now
Sold By     GoBooks Delivery
Successful Sales: 1,000 items
Delivery: 1-3 Days Pay on delivery
Category: Kiswahili
Education Level: Lower Primary
Age Group:
Requisition: Recommended
Author: KLB
Publisher: Kenya Literature Bureau

Quick Overview

KLB Visionary Kiswahili Gredi ya Sita (Mwongozo wa Mwalimu) kimechapishwa kwa kuzingatia MTaala wa Kiumilisi wa mwaka wa 2021 wa masomo ya shule za msingi Gredi ya Sita kutoka Taasisi ya Ukuzaji Mitaala Nchini Kenya (KICD). Mwongozo huu umechapishwa kwa kusudi la kuendelea kuimarisha uwezo wa mwalimu kuelekeza na kufunza lugha ya Kiswahili kupitia Sarufi na stadi za lugha; Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. ISBN: 9789966657404