Stadi za Kiswahili Shughuli za Lugha Gredi 2 | Text Books

 Stadi za Kiswahili Shughuli za Lugha Gredi 2 Available

Stadi za Kiswahili Shughuli za Lugha Gredi 2

Availability: yes
Ksh.0.00 Ksh.319.00
+
Buy Now
Sold By     Moran (E.A) Publishers Ltd.
Successful Sales: 1,000 items
Delivery: 1-3 Days Pay on delivery
Category: Kiswahili
Education Level: Lower Primary
Age Group: Grade 2
Requisition: Recommended
Author: Mentor
Publisher: Moran Publishers

Quick Overview

Stadi za Kiswahili ni Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 2 ni kitabu cha ziada kilichoandakwa kwa mujibu wa mtaala mpya uegemeao umilisi uliozinduliwa na Taasisi ya Ukuzaji Mitaala ya Kenya (KICD) mnamo Septemba 2017. Kitabu hiki kimejumuisha mada zote kuu na ndogo zilizomo katika ruwaza ya mtalaa ya Kiswahili Gredi ya 2. Isitoshe, mada kuu na ndogo zimepangwa kulingana na jinsi zilivyopangwa katika ruwaza hiyo... ISBN: 9789966630308