Soma Nasi Kusoma na Kuandika Gredi 1 | Text Books

 Soma Nasi Kusoma na Kuandika Gredi 1 Available

Soma Nasi Kusoma na Kuandika Gredi 1

Availability: yes
Ksh.0.00 Ksh.470.00
+
Buy Now
Sold By     GoBooks Delivery
Successful Sales: 1,000 items
Delivery: 1-3 Days Pay on delivery
Category: Kiswahili
Education Level: Lower Primary
Age Group: Grade 1
Requisition: Recommended
Author: Inyega et al.
Publisher: OUP Kenya

Quick Overview

Soma Nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza pamoja na kuwa vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na pia kufahamisha kuhusu masualaibuka. ISBN: 9780195746945