KLB Visionary Mazoezi ya Kiswahili Gredi 1 | Text Books

 KLB Visionary Mazoezi ya Kiswahili Gredi 1 Available

KLB Visionary Mazoezi ya Kiswahili Gredi 1

Availability: yes
Ksh.0.00 Ksh.278.00
+
Buy Now
Sold By     GoBooks Delivery
Successful Sales: 1,000 items
Delivery: 1-3 Days Pay on delivery
Category: Kiswahili
Education Level: Lower Primary
Age Group: Grade 1
Requisition: Recommended
Author: klb
Publisher: Kenya Literature Bureau

Quick Overview

KLB Mazoezi ya Kiswahill Gredi ya 1 (Kitabu cha Mwanalunzi) ni kitabu mojawapo kati ya vitabu vinavyochapishwa na Kenya Literature Bureau vya msururu wa KLB Visionary. Msururu huu wa vitabu umezingatia Mtalaa wa kiumilisi wa mwaka wa 2017 wa masomo ya shule za Msingi. Kitabu hiki kimekusudiwa kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wa kutumia stadi zote nne za lugha ya Kiswahili: Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. Kupitia stadi hizi, mwanafunzi anakuza uwezo wake wa lugha. ISBN: 9789966652324